Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Sherehe za kuzaliwa Mtume (s.a.w.w) pamoja na kuzaliwa kwa Imam Jafar Sadiq (a.s) sambamba na sherehe za "Wiki ya Umoja wa Kiislamu" zilifanyika katika Haram ya Hazrat Zainab (s.a) kusini mwa Damascus, Mji Mkuu wa Syria.
23 Septemba 2024 - 17:41
News ID: 1487795